Kuwa Mwanafunzi Dar… Yataka Moyo

NA ESTHER STEVEN UKIJARIBU kufuatilia wanafunzi wanaopata shida katika maisha yao ya kutafuta elimu, basi wanafunzi wanaosoma shule za misingi na wanafunzi walio na umri mdogo huteseka sana. Lakini wanafunzi wanaoteseka zaidi ni wale waliopo Jijini Dar es Salaam, na wanaishi mbali na shule wanazosoma. Mara nyingi haswa nyakati za asubuhi na jioni huwa naumia…

FAHAMU JINSI VIAZI VINAVYOTOA CHUNUSI NA KUFANYA NGOZI KUWA LAINI

NA MWANTUMU ALLY Je unafahamu kuwa fungu moja la viazi linaweza kukufanya ukawa mrembo zaidi na zaidi na kuondoa chunusi na mabaka meusi usoni kwa muda wa wiki moja tu? Ni rahisi sana. Chukua fungu lako moja la viazi, menya viazi vyako, na hatua inayofuata ni kuvitwanga mpaka viwe laini kabisa. Baada ya hapo chukua…

Bongo Fashion industry

By Lightness Mndeme FASHION is under pressure as it is gaining more interests especially to the youths. Many people have viewed this as an open window towards their economic prosperity as well as an opportunity. A young upcoming model Ms Rachel Omari shared her story as she is already in the fashion industry as the…

How beauty products affect our health

Lightness Mndeme Mariam Said (54) has been using beauty products for about 20 years and her skin is badly affected by the products, the kind of products she used are the ones for bleaching the skin what made it worse is that she used to mix different products and apply them as a result the…

Jinsi ya Kutunza Ngozi Yenye Mafuta

Na: Anna Lukele Kuna aina mbili za ngozi.  Ngozi kavu na Ile yenye mafuta ambayo Mara nyingi hupelekea chunusi katika sehemu mablimbali za mwili hasa usoni, kifuani na mgongoni . Watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na changamoto ya chunusi inayosababishwa na ngozi kuwa na mafuta mengi jambo ambalo hupelekea kutokujiamini hasa wakiwa mbele za watu na…

Lugha Tatu Ndani ya Ngoma Moja

Na Anastazia Maguha Ujio wa kundi la the mafik ambalo linaundwa na vijana watatu,Rhino,Hamad na Mbalamwezi limeonekana kufanya vizuri sana na nyimbo yao iitwayo the Passenger. Kundi hili linalofanya vizuri sasa na wimbo wao ,ambao una lugha tatu ndani yake kiswahili, kingereza na kifaransa wamepokelewa vizuri Sana na wananchi na wadau wa muziki kwa kuwapa…

Kiki Zinavyo Panua Soko la Msanii

Na ANASTAZIA MAGUHA Ni kweli kiki ndo inafanya kazi ya msanii ifanye vizuri sokoni? kumekuwa na utamaduni kwa wasanii wetu wa Tanzania pande zote za muziki na filamu kuamini katika ‘kiki’ kufanya mambo yaliyo nje na kazi zao tu ili waongelewe Sana haswa kwenye mitandao ya kijamii waweze kuuza kazi zao. Hiki kitu kinazidi kushika…

Umuhimu wa Kuyafahamu Madhara ya FISTULA na Tiba yake

Na Hidaya Nyanga May, 23 ya kila mwaka ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya tatizo la fistula ya uzazi kwa wanake. Kwa mwaka huu kauli mbiu inasema ‘Tumaini Uponyaji na Heshima kwa Mwanamke’. Fistula ni miongoni mwa Tatizo ambalo limekuwa likawasumbua wanawake wengi katika jamii. Kitaalamu fistula ni tundu linavujisha vitu katika…

JUFUNZE NJIA YA ASILI YA KUTIBU MATANGOTANGO

NA, ALPHONCE DENIS, MIRAJI SALEHE Matangotango ni ugonjwa wa ngozi unaotokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kutumia vipodozi vyenye kemikali kali, pia huweza kusababishwa na ngozi kuwa kavu kwa muda mrefu JINSI YA KUTIBU Unatakiwa kuwa na magadi (yaliyo sagika au yaliyo katika mfumo wa jiwe) Maji ya kiasi Kikombe au kifaa chochote chakuweza…

Picture Frames in Beautifying your Home

By JENNY CHILLERY AND FLORA HARSON Being one of the most central part of one’s life, memories are there to rejuvenate us. We have memories of good days and bad days. Whatever the reason for having those days, memories are there to take us back in time and remember the moments we should be cherishing….

ZIJUE TIBA ZA ASILI NA NJIA ASILIA ZA KUTUNZA AFYA YAKO

  Na Judith Geofrey (TUDARCo), Matunda, mizizi na mboga mboga ni utajiri wa asili tuliopewa wanadamu. Katika vitu hivi utapata tiba asilia pamoja na viini lishe vyote vinavyohitajika na mwili kwa ajili ya afya yako Hapo kale tiba za asili zilionekana kama viini macho na uchawi, ila kwa uhalisia matunda, mizizi na mboga mboga ndiyo…

UGONJWA WA MTOTO WA JICHO (CATARACT)

JENNY CHILLERY NA FLORA HARRISON Ugonjwa wa mtoto wa jicho ni ugonjwa unaongoza kwa upofu duniani, na watu wenye ugonjwa  huu mara nyingi huwa ni wazee na watoto.ugonjwa huu unatibikaendapo mwathirika wa tatizo hili atawahi mapema matibabu. Ugonjwa huu mtu hupata ukungu kwenye jicho na kufanya kupunguza uwezo wake wa kuona au kutokuona kabisa,ukungu huo…