WANAUME: FAHAMU MAMBO SITA YAKAYOKUFANYA KUWA NADHIFU.

Na : Anna lukele

Wanaume wengi hukutana na changamoto za uvaaji hasa wawapo ofisini hivyo kushusha viwango vya unadhifu wao . Unadhifu ni sekta ambayo itakupa heshima popote ulipo bila kujali wewe ni nani.

Haya ndiyo mambo sita yatakayokufanya kuwa na mwonekano nafhifu wa kiofisi .

1) Hakikisha mkato wa nywele na ndevu upo katika mwonekano mzuri,  nywele ziwe na urefu wastani, zilizochanwa vizuri au unaweza kuondoa nywele zote.

2) kwa mvaaji wa koti,  hakikisha vifungo vya koti lako vimefungwa mda wote.  Kwa koti lenye vifungo vitatu , kifungo cha kati kifungwe wakati wote,  kifungo cha chini hakitakiwi kufungwa kabisa na kifungo cha juu ni uamuzi wako,  ufunge au usifunge .

3) ikiwa umevaa shati bila koti, tai sio lazima.

4) Ikiwa umevaa tai,  hakikisha ncha ya tai yako ifike/iguse kidogo sehemu ya kiuno.

5)Chomekea. Hakikisha Mkanda wa suruali unafanana na rangi na viatu.

6) Hakikisha soksi zako ni ndefu kiasi kwamba ukikaa sehemu ya wazi ya miguu haionekani Kwa mwanaume wa kisasa ni rahisi sana kuonekana nadhifu ikiwa utazingatia mambo hayo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s