JUFUNZE NJIA YA ASILI YA KUTIBU MATANGOTANGO

NA, ALPHONCE DENIS, MIRAJI SALEHE

Matangotango ni ugonjwa wa ngozi unaotokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kutumia vipodozi vyenye kemikali kali, pia huweza kusababishwa na ngozi kuwa kavu kwa muda mrefu

JINSI YA KUTIBU

  1. Unatakiwa kuwa na magadi (yaliyo sagika au yaliyo katika mfumo wa jiwe)
  2. Maji ya kiasi
  3. Kikombe au kifaa chochote chakuweza kufanyia mchanganyiko huo

 

HATUA

  • Chukua chombo hicho ulichoandaa kwaajili ya kufanya mchanganyiko huo
  • Weka maji ya kawaida kiasi ambacho kama kikombe unaweza weka maji nusu kikombe
  • Weka Magadi hayo  kwenye maji uliyoandaa
  • Changanya kwa kukoroga  na kijiko ili kuhakikisha magadi hayo yameyayuka
  • Hakikisha unaonja ili kuhakikisha maji yamekua machungu ndipo kuhakiki kama magadi hayo yamekolea

 

JINSI YA KUTUMIA

Unatakiwa kupaka mnganyiko huo sehemu yenye Matangotango kila baada ya kuoga, ni vzur kupaka mara mbili kwa siku, yaan asubuhi na jioni baada ya kuoga kwa muda wa wiki mbili hadi tatu.

Baada ya hapo ngozi yako itakua imerudi kwenye hali yake ya kawaida bila.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s