Lugha Tatu Ndani ya Ngoma Moja

Na Anastazia Maguha

Ujio wa kundi la the mafik ambalo linaundwa na vijana watatu,Rhino,Hamad na Mbalamwezi limeonekana kufanya vizuri sana na nyimbo yao iitwayo the Passenger. Kundi hili linalofanya vizuri sasa na wimbo wao ,ambao una lugha tatu ndani yake kiswahili, kingereza na kifaransa wamepokelewa vizuri Sana na wananchi na wadau wa muziki kwa kuwapa sapoti kubwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kiujumla. Kundi hilo ambalo linawiki mbili sasa tangu watoe wimbo wao na watambulishwe,wakiwa wanafanya mahojiano na kituo kimoja hapa nchini wamesema” hawakuunda ilo kundi kwa sababu wanafahamiana ila liliendeshwa shindano na wao watatu kuibuka washindi ndipo kuanza kufanya kazi pamoja”.Na siku ya tarehe 17 mwezi wa pill mwaka huu 2018 wasanii wa kundi hilo wakiwa na meneja wao katika zulia jekundu LA Tamasha la usiku was Aslay na Nandy ,ambapo ndo siku na Mara yao kutumbuiza katika jukwaa kubwa Kama bendi wamesema, ” watanzania wategee mambo makubwa kutoka kwetu Kama kundi lakini pia kuwahakikishia kundi hili litadumu na kufanya mambo makubwa mbeleni”. Makundi mengi ya muziki haswa wa bongo fleva hapa nchini yamekuwa yakivunjika na kusambaratika kutokana na sababu mbalimbali huku pesa na uongozi mbovu vikuhusishwa, Tunategemea hata makundi yanayoibuka yatakuwa yamejipanga na kujifunza kutokana na makundu yaliyopita lengo ni Mona kupeleka muziki na sanaa ya Tanzania kimataifa na ujilikane duniani kote.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s