Kiki Zinavyo Panua Soko la Msanii

Na ANASTAZIA MAGUHA

Ni kweli kiki ndo inafanya kazi ya msanii ifanye vizuri sokoni?

kumekuwa na utamaduni kwa wasanii wetu wa Tanzania pande zote za muziki na filamu kuamini katika ‘kiki’ kufanya mambo yaliyo nje na kazi zao tu ili waongelewe Sana haswa kwenye mitandao ya kijamii waweze kuuza kazi zao.

Hiki kitu kinazidi kushika kasi hadi kwa wasanii chipukizi,ambao ndo wanajiandaa kuingia katika sanaa hujikuta wakijikita zaidi kwenye mambo ya’kiki’ na kusahau kufanya kazi nzuri ambayo ndo kitu kinaenda tazamwa na kusikilizwa na mashabiki na watanzania kiujumla.

Katika Sanaa ni Maisha niwakumbushe watu na wasanii wa namna hii au wanaowaza haya mambo ya ‘kiki’ kuwa ,hicho hakitakuwepo kwenye kazi zenu mwisho wa siku tutaangalia umefanya nini na uwezo wako ni upi?. Na niwakumbushe tu kuweni makini sana na muwekeze nguvu zenu kwenye kazi zenu zaidi ,mwisho wa siku kazi nzuri ndo itakubeba na sio ‘kiki’.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s