FAHAMU JINSI VIAZI VINAVYOTOA CHUNUSI NA KUFANYA NGOZI KUWA LAINI

IMG-20180219-WA0004

NA MWANTUMU ALLY
Je unafahamu kuwa fungu moja la viazi linaweza kukufanya ukawa mrembo zaidi na zaidi na kuondoa chunusi na mabaka meusi usoni kwa muda wa wiki moja tu?
Ni rahisi sana.

Chukua fungu lako moja la viazi, menya viazi vyako, na hatua inayofuata ni kuvitwanga mpaka viwe laini kabisa.
Baada ya hapo chukua viazi ulivovitwanga upake usoni na kuacha mpaka yale maji maji ya viazi uhakikishe yamekauka kabisa .
Yakisha kauka utabaki unga unga usoni, sugua ule unga unga kwa vidole taratibu mpaka uhakikishe umeenea uso mzima na baada ya hapo hatua inayofuata ni kuacha unga unga huo usoni kwa muda wa nusu saa au kama utapendelea kufanya njia hii usiku unashauriwa zaidi kulala na unga huo mpaka asubuhi.
Njia hii ni rahisi sana na inaondoa chunusi na makovu meusi yote usoni na kukufanya uwe na ngozi laini na asilia, achana na kutumia makemikali fuata njia asilia kwa ubora wa afya yako.
TUNAKUPENDA NA KUJALI AFYA YAKO.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s