Jinsi ya Kutunza Ngozi Yenye Mafuta

Na: Anna Lukele Kuna aina mbili za ngozi.  Ngozi kavu na Ile yenye mafuta ambayo Mara nyingi hupelekea chunusi katika sehemu mablimbali za mwili hasa usoni, kifuani na mgongoni . Watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na changamoto ya chunusi inayosababishwa na ngozi kuwa na mafuta mengi jambo ambalo hupelekea kutokujiamini hasa wakiwa mbele za watu na…

Lugha Tatu Ndani ya Ngoma Moja

Na Anastazia Maguha Ujio wa kundi la the mafik ambalo linaundwa na vijana watatu,Rhino,Hamad na Mbalamwezi limeonekana kufanya vizuri sana na nyimbo yao iitwayo the Passenger. Kundi hili linalofanya vizuri sasa na wimbo wao ,ambao una lugha tatu ndani yake kiswahili, kingereza na kifaransa wamepokelewa vizuri Sana na wananchi na wadau wa muziki kwa kuwapa…

Umuhimu wa Kuyafahamu Madhara ya FISTULA na Tiba yake

Na Hidaya Nyanga May, 23 ya kila mwaka ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya tatizo la fistula ya uzazi kwa wanake. Kwa mwaka huu kauli mbiu inasema ‘Tumaini Uponyaji na Heshima kwa Mwanamke’. Fistula ni miongoni mwa Tatizo ambalo limekuwa likawasumbua wanawake wengi katika jamii. Kitaalamu fistula ni tundu linavujisha vitu katika…

JUFUNZE NJIA YA ASILI YA KUTIBU MATANGOTANGO

NA, ALPHONCE DENIS, MIRAJI SALEHE Matangotango ni ugonjwa wa ngozi unaotokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kutumia vipodozi vyenye kemikali kali, pia huweza kusababishwa na ngozi kuwa kavu kwa muda mrefu JINSI YA KUTIBU Unatakiwa kuwa na magadi (yaliyo sagika au yaliyo katika mfumo wa jiwe) Maji ya kiasi Kikombe au kifaa chochote chakuweza…

Picture Frames in Beautifying your Home

By JENNY CHILLERY AND FLORA HARSON Being one of the most central part of one’s life, memories are there to rejuvenate us. We have memories of good days and bad days. Whatever the reason for having those days, memories are there to take us back in time and remember the moments we should be cherishing….

ZIJUE TIBA ZA ASILI NA NJIA ASILIA ZA KUTUNZA AFYA YAKO

  Na Judith Geofrey (TUDARCo), Matunda, mizizi na mboga mboga ni utajiri wa asili tuliopewa wanadamu. Katika vitu hivi utapata tiba asilia pamoja na viini lishe vyote vinavyohitajika na mwili kwa ajili ya afya yako Hapo kale tiba za asili zilionekana kama viini macho na uchawi, ila kwa uhalisia matunda, mizizi na mboga mboga ndiyo…

WANAUME: FAHAMU MAMBO SITA YAKAYOKUFANYA KUWA NADHIFU.

Na : Anna lukele Wanaume wengi hukutana na changamoto za uvaaji hasa wawapo ofisini hivyo kushusha viwango vya unadhifu wao . Unadhifu ni sekta ambayo itakupa heshima popote ulipo bila kujali wewe ni nani. Haya ndiyo mambo sita yatakayokufanya kuwa na mwonekano nafhifu wa kiofisi . 1) Hakikisha mkato wa nywele na ndevu upo katika…

Being a Youth

  By JENNY CHILLERY Youth is known as the time of life when one is young, but often means the time between childhood and adulthood. It can be defined as the appearance, freshness, vigor, spirit of an individual. Youth it is a time to experience individual’s level of dependency which can be patent in various…

STAY ON FASHION WITH ROCKING HIGH CUT SKIRTS

By JENNY CHILLERY High cuts are so in trend right now. We see them worn by different celebrities like Kim Kardashian, Vanessa Mdee and many more others to add to the list. They are not just classy; they can also be sexy and flirty depending on what you are going to pair it with. Nevertheless…

Learn how to prepare milked mashed potatoes with minced beef stew

By JENNY CHILLERY Ingredients ½ kg raw minced meat 5 potatoes 1 onion 4 tomatoes 1 carrot 1 green pepper Garlic Ginger 250ml of milk 3 cubes of royco Salt Preparations Peel the potatoes and wash. Then boil the potatoes with salt for 15 minutes for them to cook. While waiting for potatoes to cook…

Things we should know for our happiness in life

By JENNY CHILLERY Being one of the most central part of one’s life, memories are there to rejuvenate us. We have memories of good days and bad days. Whatever the reason for having those days, memories are there to take us back in time and remember the moments we should be cherishing. And automatically it…

Hali Yako Kiafya, na Vyakula/dawa Vinavyokufaa.

Na Flora Harrison Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, mwili wako unahitaji virutubishi ili kusaidia ukuaji wa mwili, kama ni kijana mwili wako una mahitaji maalumu unayoyahitajia kudhamini makuzi ya kiafya ya mwili wako wakati wa utu uzima na wakati unapokuwa…